Followers

Wednesday, December 28, 2011

BIASHARA YA KOROSHO YAINGIA 'MAJI'

BIASHARA YA KOROSHO YAINGIA 'MAJI'... korosho ghalani, wilayani tandahimba, mkoani Mtwara. Habari za uhakika zinasema kuwa zaidi ya tani 40000 za korosho zipo kwenye maghala yanayotumika kuhifadhi zao hilo chini ya mfumo wa ununuzi wa Stakabadhi ya Mazao ghalani. ...BIASHARA YA KOROSHO YAINGIA 'MAJI'

No comments:

Post a Comment

Popular Posts